Maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari Sanzate

ICDT ilichangia kiasi cha Milioni kumi katika Ujenzi wa Shule ya Sekondari Sanzate. Ujenzi huo ulijumuisha Ujenzi waadarasa 4 na Ofisi ya Waalim. ICDT inaridhishwa ana maendeleo ya Majengo.

Picha mbalimbali za maendeleo ya Ujenzi.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top